速報APP / 新聞與雜誌 / CCM Tanzania - Chama cha Mapinduzi Offic

CCM Tanzania - Chama cha Mapinduzi Offic

價格:免費

更新日期:2019-05-30

檔案大小:6.0M

目前版本:9.2

版本需求:Android 4.0.3 以上版本

官方網站:http://www.udsm.ac.tz

Email:Thomasexuper1995@gmail.com

聯絡地址:Mbezi, Dar Es Salaam

CCM Tanzania - Chama cha Mapinduzi Official App(圖1)-速報App

pata habari za kina za chama cha mapinduzi kutoka majimbo yote tanzania

kamati kuu na kila habari yoyote ya

ndani na nje ya chama kupitia app hii bure na kwa urahisi wewe mwana ccm app hii si ya kukupita

pakua sasa kudumisha uzalendo na chama chako cha mapinduzi

Hakika Mapinduzi ya kweli ni Umoja wetu

pia kupitia App hii utaweza kubadilishana mawazo na wanachama wenzako wa ccm kutoka pande zote duniani kwa njia rahisi kabisa

CCM Tanzania - Chama cha Mapinduzi Official App(圖2)-速報App

tutaweka utaratibu wa sisi wana ccm wa kuanzisha hoja mbalimbali kuhusu

chama chetu na nchi yetu kwa ujumla

app hii si ya kuipita ewe mwana ccm ,

una mawazo au mapendekezo yoyote kuhusu chama hii ndio sehemu sahihi ya wewe

kuwasilisha hisia au mawazo yako kwa chama na kuwafikia wahusika

moja kwa moja

CCM Tanzania - Chama cha Mapinduzi Official App(圖3)-速報App

Karibu sana wewe mwana ccm.

CCM Tanzania - Chama cha Mapinduzi Official App(圖4)-速報App